World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Duh hatari Cassilas anatambaa tu kwenye majani masikini.
 
Kipa wa spain katApeta kama katiwa kidole cha takooo....
 
Spain kweli ni bingwa mtembezi na sio mtetezi
 
Kilichotucost ni kocha kuita majina badala ya wachezaji katika kikosi chake.
 
Hili goli la Arjen Robben linaweza kumpa tuzo ya Man of the Match
 
Kuna mtu anaweza kupgwa nusu dazani hapa.

Hivi xavi na iniesta wametoka au?
 
Maradona chizi
kweli,,babu Robeen ndo habari ya mujini saiv,full ma control.

Si huyu kipara (Robben)wako katupia tena mkuu!! Sijawahi ona Bngwa anabugizwa 5 vs 1 ya penati. Sijui hawataki Spain watoke nje kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…