Goli limeingia kijinga sana, kipa alidhani anaokoa kumbe anampelekea adui vizuri dah.
hahahaaah,,,,,,na itatokea kweli. Tutakumisi.
Hapana hawa watu walichezea nafasi kipindi kile leo siwezi poteza muda shabikia wao.
President Barack Obama watches the US match v Germany on Air Force One.
safi sana tutoke nao hawa manyani wa ureno na utozi wao
Me timu yangu ilishatoka muda, hizi za afrika nilishakata tamaa hazina jipya, world cup kwangu ovyo tu msimu huu.
BREAKING: FIFA have said Luis Suarez is not allowed to stay in Uruguay's team hotels in Brazil for the rest of the World Cup.
match ya Algeria ikiisha ndio na mimi mwisho kushangilia Africa
dah tunakosa tena
kitendo cha FA ya ghana kuwacheleweshea hela kimedhoofisha sana molali ya wachezaji. hii ni wiki ya pili hamna hela unategemea nini? tuwashangilie algeria baadaye
SAFI,Huyu anatakiwa aende selo kabisa.
Ghana wamshukuru sana huyu Kipa wao...