Leo nashangilia Brazil had kieleweke Saa tano sio mbal
hehehe dongo lol Leo Brazil anapigwa 2-1 au draw tutaona beki Yao nzuri na kati pazuri.Leo naona una raha unafaidika na freeview channels kuona mpira
Hawa Croatia sioni kama watatoa upinzani leo, wewe unaonaje?
rubaman mpira mnaona hapo?
Mkuu wameacha na wame sahau.waliokuwa wanaandamana waneacha?
Mambo ya jumamosi na uzi wako wa 82!Leo naona una raha unafaidika na freeview channels kuona mpira.
Hawa Croatia sioni kama watatoa upinzani leo, wewe unaonaje?
rubaman mpira mnaona hapo?
Leo naona una raha unafaidika na freeview channels kuona mpira
Hawa Croatia sioni kama watatoa upinzani leo, wewe unaonaje?
rubaman mpira mnaona hapo?
Kweli na sitoshangaa kumuona David Luiz anakula Red haaminiki.Leo yoyote yule anaweza kupigwa, si Croatia tuu hata Brazil anaweza kufungwa hapa.