World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

hii nafikiria inatokana na ukaribu wa tunaoishi Mie kwetu Bara Dar-es-salaam kuishi kwangu nimeona Wahindi wengi DSM wameanza kujichanganya na Wabantu hivi Karibuni na kweli wengi wanacheza Cricket na Hockey hawajisukumi kwenye Football sababu hawaalikwi kwenye mpira wa miguu vijana wakitanzania Wenye asili ya Asia ila wao viwanja vya michezo Hiyo wanaalika Wabantu kuja kucheza uhusiano upo mbali sana ila zaidi ya kusema Hivyo Zanzibar hasa Unguja nilienda nikaona Wahindi Wakule wapo karibu na watu weusi na kiswahili chao kizuri huwasikii wakisema Nne ni INE na wanachanganyika na watu na Mnazimmoja viwanjani na Malindi wanacheza mpira wamiguu bila tatizo ila ukija huku kwetu Msasani Magunia watoto wakihindi wanaogopa hata kuja kucheza mpira wala kukatiza na wamezaliwa miaka kibao ila kiswahili chao hakuna kitu Umoja wa Ummah haupo zaidi kwenye maongezi ya Fedha.
 
Bora kushinda kilabuni kulewa tu kuliko mambo ya kushabikia mipira ya timu za africa
 

Hivi unajua ulichoandika.duh we kweli pazi sijui pazia
 
Nahisi kama safari ya Brazil katika mashindano haya inafikia tamati kesho.
Invisible
Ikitokea Brazil akatoka kesho nipige BAN ya Miezi miwili, sitafungua ID mpya nitakuwa msomaji tu
 
Last edited by a moderator:
Hahaha hiyo ya msalaba noma . ina maana mtu na ukubwa wake wote hajui hii kweli ? Ina maana wachezaji wa ulaya wakianza kula kitimoto uwanjani na wa kwetu wataiga bila kujali dini au malezi yao



Mkuu hii nilishuhudia live uwanja wa taifa wakati timu yetu ilipochuana na Ivory Coast na pia nikaona kwenye uwanja wa mchangani mmoja wa wachezaji wa hizi timu za kichawi (Simba na Yanga) alivyokuwa akichezea timu yake ya mchangani. Jamaa alikuwa anatoka dakika za majeruhi akapiga ishara ya msalaba, waislam wenzake wakaanza kumapaka matope. Yaani ni ujinga kweli.
 
West Germany na Austria walipanga matokeo 1974 kumuondoa Algeria kwa tofauti ya goli moja na ndiyo sababu FIFA from then wakaamua mechi za mwisho za kila kundi lzm zichezwe muda sawa

Wanao dhani Germany wamepita kwenye mtoano na Algeria wanajidanganya kabisa hasa ndugu yangu rubaman
 
Last edited by a moderator:
Giorgio Chiellini: Luis Suarez's ban for biting me 'excessive'

AP 10:14 a.m. EDT June 27, 2014

Italy's Giorgio Chiellini was bitten by Uruguay's Luis Suarez Tuesday. Suarez has been banned from all soccer activities for four months and suspended for nine international matches.(Photo: Tony Gentile, Reuters)


1885 CONNECT 54 TWEETLINKEDIN 9 COMMENTEMAILMORE

MILAN (AP) - Giorgio Chiellini believes Luis Suarez has been harshly punished by FIFA for biting his shoulder during their decisive World Cup match.
Suarez was banned from all football activities and stadiums for four months, suspended from Uruguay's next nine internationals, and fined.
"Now inside me there are no feelings of joy, revenge or anger against Suarez for an incident, which happened on the pitch and is done," Chillieni wrote in his blog for Sportlobster. "There only remains the anger and the disappointment about the match. At the moment, my only thought is for Luis and his family, because they will face a very difficult period."

USA TODAY WORLD CUP
Luis Suarez receives harsh punishment from FIFA


"I have always unequivocally considered the disciplinary interventions by the competent bodies, but at the same time I believe the proposed formula is excessive. I sincerely hope he will be allowed to stay close to his teammates during the games, because such a ban is really alienating for a player."

USATODAY
FIFPro questions FIFA's punishment of Luis Suarez




Uruguay's football federation said it planned to appeal the ban, which leaves it without its star striker and leading goalscorer for next year's Copa America, and most likely for the start of its qualifying matches for the 2018 World Cup.

USA TODAY WORLD CUP
FIFA gets it right with strong punishment for Suarez




Suarez bit Chiellini's left shoulder during a 1-0 win against Italy in the group stage on Tuesday.
This is the third time Suarez has been banned for biting an opponent, following similar incidents in the Dutch and English leagues. He has also been banned in England for racial abuse.
Suarez bit Chiellini's left shoulder during Uruguay's 1-0 win against Italy in the group stage on Tuesday.

 

najaribu ku find out how algeria watapitisha mipira kwenda kwenye 18 ya ujerumani bado sipati jibu.
 
najaribu ku find out how algeria watapitisha mipira kwenda kwenye 18 ya ujerumani bado sipati jibu.

Wale WEHU Ghana walipiga 2 kwenye ukuta huo huo!Kama WEHU wale walipiga watashindwa vipi wenye akili timamu Desert Fox?
 
Wale WEHU Ghana walipiga 2 kwenye ukuta huo huo!Kama WEHU wale walipiga watashindwa vipi wenye akili timamu Desert Fox?

Ujerumani hii hii ambayo GHANA alifunga magoli mawili na kukosa ya wazi kadhaa likiwemo counter attack dk za mwisho?? Au unazungumzia ingine?
 
Wale WEHU Ghana walipiga 2 kwenye ukuta huo huo!Kama WEHU wale walipiga watashindwa vipi wenye akili timamu Desert Fox?

wachezaji wa kati wa ghana waliocheza mechi na germany wana uwezo mkubwa wa kupeleka mashambulizi mbele, sema forward ya ghana walikuwa wehu na mabeki ni uozo.
Algeria katikati sio wazuri hivyo halafu karibu timu nzima hawana speed kama germany, sanasana germany watakuwa wanawavuta halafu wanapiga counter attacks, wasipoangalia kama magoli yangekuwa ni maembe ingebidi waende na ndoo kuyabeba maana mikononi hayatatosha. Labda wajihami wasipande mbele, waswali washinde kwa penati, wakipanda mbele kushambulia ni kosa.
 
Sababu za kuchemka vigogo wa soka ulaya spain, italy na england walitoka round ya kwanza world cup..
spain
1.spain walinangania majina badala ya uwezo, maana waliwanangania wachezaji ambayo kasi yao ya mpira imepungua, wakashidwa kucheza mpira wa kisasa wa kasi ambao unachezwa na vijana wenye umri mdogo, au hata ni mtu mwenye umri mkubwa lakini anatakiwa awe na kasi na nguvu, hatakama unacheza mpira wa pasi, waliacha kuchezesha watu kama akina koke, isco, de gea, carvajal, mata, sant-carzola pedro , martinez, bartra wakanangania watu kama casilas, xavi, xabi, pique watu ambao kasi imepungua sana.


-kushidwa kusoma mazingira na kugamua kwamba timu ya taifa ya spain ilikuwaimejegwa kupitia backbone ya timu ya barcelona kasoro messi (pique, busquets, xavi, iniesta, villa(wakati ule), fabregas,alba kwa hiyo kuanguka kwa barcelona ingekuwa ni signal ya kubadili baadhi ya mambo.


2. Italy ambaye ni pia mwanafainali pwa euro 2012 nao kwa mtazamo wangu walikuwa na shida kwenye kuchagua na kupanga kikosi, kama ukiangalia kwa makini italy walikuwa wakicheza vizuri sana mpaka kwenye kiungo lakini kufunga ikwa shida, lakini kocha aliwaacha washambuliaji wazuri kama el-sharawy na rossi, lakini kiungo kama verrati hakupewa nafasi ya kutosha.


3.England kama kawaida yao wametokota tena lakini naona wana matatizo yale yale kwanza kupanga majina zaidi kuliko uwezo mfano gerrad, rooney hata baines, ukiangalia mechi kama ya uruguay gerad ndo alifanya makosa na kusababisha magoli yote mawili na makosa kama hayo kafanya msimu uliopita na kuwanyima liverpool ubigwa
-jambo lingine ni vyombo vya habari na mashabiki uingereza kuweka pressure kubwa kwa wachezaji, mpaka inafikia wachezaji wanaogopa na kuchukia kuchezea timu ya taifa(maneno ya harry rednup), wachezaji wa uingereza wanakuwa wanaogopa mashabiki na vyombo vya habari hata kuliko wapinzani wao


-lakini jambo lingine kwenye mashindano mengi makubwa uingereza wamekuwa na tabia ya kutafuta mtu au kitu cha kusingizia wanaposhidwa na kusahau kutatua maswala ya msingi, mfano mwaka 1998 walilaumu sana kadi nyekundu ya beckam, mwaka 2010 walilaumu kukataliwa goli la lampard mpaka kufikia kulazimisha goal line techonology FIFA. Mwaka huu ukiacha mambo mengine wanalaumu hali ya hewa ya joto, wakisahau karibia asilimia 85 ya wachezaji wengine kwenye timu zinazoshinda (zikiwemo na zolizo wafunga) wanacheza ulaya na kuishi ulaya muda mwingi, lakini pia vyombo vyao vya habari vimeamisha mjadala kwenye sakata la suarez( labda ni kwa chuki ya kupigwa goli mbili) wanakomaa na liverpool wamfukuze huku wakisahau kabisa mjadala wa kwanini timu yao inachemka.? Mwisho wanaweza kwenda kwenye kombe lingine la dunia wakiwa na matatizo yale yale..
 
andate umeangalia mechi za Algeria lakini?? Wana spirit sana,wanajituma...Ujerumani jasho la meno litawatoka kuwatoa..
Kombe halitabiriki hili...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…