World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Halafu wanawatwisha mzigo wa kusema kwamba wamekosa nidhamu,mtu kuhoji haki yake tayari ni utovu wa nidhamu,kwanini FIFA nao hawahoji matumizi? hili jambo la wachezaji kutokulipwa wanalichukuliaje?

Jana FIFA wamesema kuanzia 2018 wamesema kuwa watakuwa wanahitaji majina 23 ya wachezaji walio teuliwa na pesa zao zinaingia direct kwenye akaunti zao!Milion 8 dola kuanzia 2018 hazitumwi tena kwenye chama cha soka cha nchi
 
Ndo wanaamka leo,toka miaka na miaka team zinagoma,ila bora kuliko wangeendelea kuzituma kwenye nchi husika
 
Mbona howard webb hajatoa kadi ya njano kwa ile faulo aliyocheza FENANDINHO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…