World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

sawa mkuu ila mpira wa leo una mashinikizo ya kupanda na kushuka
Leo mimi naangalia mpira kwa kurelax,nipo Brasil kwa leo tu!Brasil ni mchepuko wangu wangu,ingekuwa njia kuu France inacheza weeee,Bp ingepanga na kushuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…