World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Luiiiiiiiiiiiz
Yeyayyyyyyyyyayayayayabdj.shdmsbdjmsnsjdndjnsjdjdnhdjdj
 
Leo mimi naangalia mpira kwa kurelax,nipo Brasil kwa leo tu!Brasil ni mchepuko wangu wangu,ingekuwa njia kuu France inacheza weeee,Bp ingepanga na kushuka
Mchepuko haujakuangusha mpaka sasa.
 
Brazuu wanapata goli hapa daaa kero zimeanza sasa, lakini mpira dk 90, muda bado
 
own goal sio la Luiz. Kama kawaida wachezaji waliocheza chini ya Mourinho wanakuwa cheaters jamaa ameshangilia kama vile amefunga yeye mpira ulimparaza tu pale
 
Kuna watu wanaongea sana hawa watu wakifunga mimi Invisible nipe BAN ya miezi nane kama watashinda hii mechi
 
Last edited by a moderator:
Ukishabikia chile una kuwa na mpango kusababisha watoto wako wawe yatima na mke kuwa mjane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…