World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Brazil watayaaga robo fainali afu fujo zitatokea Brazil nzima.

Robo fainali atacheza na mshindi kati ya Costarica vs Greece!Hio ni mechi rahisi kwao!Akipita hapa ndiyo tena hadi nusu fainali!Mechi ngumu kwao ni hii maana hawa wote wanajuana!!
 
Kiukweli natamani sana kama Webb angechezesha gemu ya ivory cost na Greece maana asingetoa ile penati
 
Sijielewi hata nashabikia timu gani....Yani atakayeshinda sawa tuu....

Nakumbuka mwaka 2006 nilitoa chozi baada ya Brazil kutolewa...
 
Kwa hiki kiungo cha Chile nilicho kiona mpaka sasa Brazil kwisha habari yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…