Kwenye matuta kwa kweli mchepuko wangu Brazil anatoka,dah ila sikutaka watoke mapema,japokuwa niliamini kuwa hawawezi chukua kombemchana nimewaambia hii game itaenda 1-1 then extra time hope matuta. Tukienda kwenye matuta brazil byebye
sema usiogope
pamoja sana mkuu, haya wadau wa makelele njooni sasa nimerudi kwenye kipindi cha lala salama, kucheka ama kununa vyote ni sawa kwa leo
pamoja sana mkuu, haya wadau wa makelele njooni sasa nimerudi kwenye kipindi cha lala salama, kucheka ama kununa vyote ni sawa kwa leo
Brazil fungeni maana nina njaaa afu BAN inanifata
mchana nimewaambia hii game itaenda 1-1 then extra time hope matuta. Tukienda kwenye matuta brazil byebye
Kwenye matuta kwa kweli mchepuko wangu Brazil anatoka,dah ila sikutaka watoke mapema,japokuwa niliamini kuwa hawawezi chukua kombe
Haya tena!
ulipotelea wapi?
Dk15 hiz za mwisho Chile anafungwa, atake asitake!