Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Gemu inamalizia penalt
mbona wengi mnaiombea njaa brazil?
mbona wengi mnaiombea njaa brazil?
na hapo ndipo Brazil watakspoaga!Gemu inamalizia penalt
Ikitokea hii timu imetoka basi hata mimi nakubali maandamano ikiwezekana Kombe la dunia liishe
Ikitokea hii timu imetoka basi hata mimi nakubali maandamano ikiwezekana Kombe la dunia liishe
Tukitolewa leo Brazil leo nalia, ila hatoki mtu Chile lazima warudi kwao.
one luv ninja..Chile anaingia Robo Fainali..