na hapo ndipo Brazil watakspoaga!
kipa wa chile ni noooomah!
Ikitokea hii timu imetoka basi hata mimi nakubali maandamano ikiwezekana Kombe la dunia liishe
Mechi ya brazil na chile itakwenda extra time baada 1-1 ft. Itaamuliwa kwa kupigwa penati chile 4 brazil 3