World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kitu kimekula mwamba hapa duh...naamini kuna lazima #team Brazil wengi wamezimia.
 
Haya mashambulizi ni makali mpaka nimeachia ushuzi mbele ya watoto sababu ya mihemuko..!!!
 
Jamani wale wote waliokuwa wananiombea BAN nilisema kama Chile atamfunga Brazil ndio nipewe BAN na sio akimtoa kwa Penalt
 
Muda huu ingekuwa ni England tungekuwa tumeshahesabu wameshatoka kwa penalties au sio DonDonald, Pazi?
 
Hivi hawa Chile wanavyojifanya wagumu hivi, hawajui kama wanacheza na wenye nchi eeeh. Tutawachukia sana wakitutoa, wakubali yaishe tu. Hahahaaaa joke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…