palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
Wewe jamaa kam.si mchawi bahati
Una bahati.....!!Jamani wale wote waliokuwa wananiombea BAN nilisema kama Chile atamfunga Brazil ndio nipewe BAN na sio akimtoa kwa Penalt
Brazil oooooooout.......
Sasa Brazil wakicheza na teams kama Argentina,Germany,Holland si itakuwa aibu hii?
Presha inapanda presha inashuka
Watapewa ulinzi wa maanaHivi hawa Chile wanavyojifanya wagumu hivi, hawajui kama wanacheza na wenye nchi eeeh. Tutawachukia sana wakitutoa, wakubali yaishe tu. Hahahaaaa joke
Brazil oooooooout.......
TRAGEDY!
Haya mashambulizi ni makali mpaka nimeachia ushuzi mbele ya watoto sababu ya mihemuko..!!!
Brasil hatoki leo!
Nani anabisha tupinge....?
Dau dola hamsini.....
Umekosea sanaNikisema brazil bye bye ntakuwa nimekosea?