rubaman JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 4,983 Reaction score 3,084 Jun 28, 2014 #13,121 Leo wataomba na kupray kwa mizimu na MUNGU wao sana, lakini Brazil watayaaga tu.
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,284 Reaction score 38,364 Jun 28, 2014 #13,122 Skype said: Mimi sasa nakaa kimya maana hizi habari za matuta huwa hazina mwenyewe Click to expand... Hakuna kitu ambacho sikipendi kama hatua hii kwenye mpira.!
Skype said: Mimi sasa nakaa kimya maana hizi habari za matuta huwa hazina mwenyewe Click to expand... Hakuna kitu ambacho sikipendi kama hatua hii kwenye mpira.!
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 37,957 Reaction score 26,414 Jun 28, 2014 #13,123 Mpaka nawaonea huruma Brazil...
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 8,900 Reaction score 28,398 Jun 28, 2014 #13,124 idawa said: #team Brazil Tukutane 2018 kwa heri. Click to expand... Hiyo kampeni yako achana nayo. Brazil hatoki hata iwe nini HATUTOKI.
idawa said: #team Brazil Tukutane 2018 kwa heri. Click to expand... Hiyo kampeni yako achana nayo. Brazil hatoki hata iwe nini HATUTOKI.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Jun 28, 2014 #13,125 Invisible nakukumbusha usinipige BAN sababu muda umeisha hata Betting mwisho dakika 90 Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
DonDonald JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 2,533 Reaction score 2,709 Jun 28, 2014 #13,126 Kwahiyo wanatolewa kwa penalty sio?
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Jun 28, 2014 #13,127 Ngoja nilale sasa.
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Jun 28, 2014 #13,128 andybird314 said: Afu FIFA kwanini wamuweke Ref ambae Timu yake ya Taifa imetolewa tayari? Click to expand... ili asipendeleee..
andybird314 said: Afu FIFA kwanini wamuweke Ref ambae Timu yake ya Taifa imetolewa tayari? Click to expand... ili asipendeleee..
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,345 Reaction score 10,885 Jun 28, 2014 #13,129 Mwenzenu nina presha oh!
rubaman JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 4,983 Reaction score 3,084 Jun 28, 2014 #13,130 Luiz atakosa... bet!!!!
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Jun 28, 2014 #13,131 Washikaji moyo wangu unapiga ngoma hapa. I hate this arrggghhhhhhhhhhhhh
M mabawa JF-Expert Member Joined Aug 10, 2013 Posts 316 Reaction score 34 Jun 28, 2014 #13,132 julio leo unene wote utaisha
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Jun 28, 2014 #13,133 Brazil wameshapoteza maana Julio Cesar hajiamini kabisa.
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 37,957 Reaction score 26,414 Jun 28, 2014 #13,134 Mm mwenyewe naanza kuogopa..
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Jun 28, 2014 #13,135 Katavi said: Ngoja nilale sasa. Click to expand... acha kihoro luiz scored..
wangewange Senior Member Joined Oct 4, 2013 Posts 189 Reaction score 43 Jun 28, 2014 #13,136 Kiroho kinadunda
E Ed n Edd nEddy JF-Expert Member Joined May 3, 2011 Posts 5,345 Reaction score 6,076 Jun 28, 2014 #13,137 ndetichia said: watoke tu.. Click to expand... Wakitoka litakosa mvuto
Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,469 Reaction score 12,391 Jun 28, 2014 #13,138 luiz daah.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Jun 28, 2014 #13,139 Luiz bora umefunga aiseee Haya Ceaser pangua hiyo
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 37,957 Reaction score 26,414 Jun 28, 2014 #13,140 Brazil wanapata penalt hapa