Haha mkuu salama lakini?
Kwi kwi kwi kwi kwi lol!!!!! Pole zako oga maji ya baridi kuondoa mchoko 🙂🙂
Kudadeki wapi Chile
We are [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teamBrazil]#teamBrazil [/URL]
All the way to the final stage kombe letu hili hakuna wa kutuzuia
#teamNeymar
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teamBrazil]#teamBrazil [/URL]
mie mbavu sina kabisa
basi tu pressure tupu
Wamepita kwa tabu
yaani me team brazil damu leo ingetoka na mpira nngeishia leo hadi 2018
Mimi nibuheri wa afya sijui wewe? Hofu na mashaka ni hayo mapresha unayoyapata kwa kushabikia timu mlenda zinazopita kwa kudra ila siyo mbaya ndo mambo ya soka hayo.
Hii gemu haiishi bila red card kwa timu ya Uruguay
Hahahahahaa pole MEANDU, nakwambia mpk hii WC iishe vituko vitaingia kwenye GB.
acha yaani team mavampire..
Hii gemu haiishi bila red card kwa timu ya Uruguay
Haha mkuu matimu ya uhakika ndo yanatoka so bora haya matimu yetu yanayopenya kwa kudra za kipa
Umeona eeeh Brazil ni kila kitu kwenye WC
Mkuu kwanza wewe timu gani kati ya colo na urug? Tuanzie hapo kwanza ili nijadili kulingana na muktadha.
Netherlands washasema hali ya hewa itawasumbua
Mimi hakuna nilichokiminya sema nilikuwa, situlii natembea huku narudi kule. Utafikiri mimi ndio coach wa Brasil aisee asikwambie mtu ile presha ilikuwa juu sana.