holand 4-1 mexico
Historia ina tabia ya kujirudia, Mexico tokea fainali ya 1994, hawajaweza kuvuka mzunguko wa pili...
Go #TeamWadachi
Holland akipita najipiga BAN mpaka robo ianze ndo narudi
#teamDosSantos
#teamMexico
All the way to the quarter stage
una huduma ya kwanza jirani?holand 4-1 mexico
umeona enheee...Mpaka sasa waholanzi wanautafuta mpira kwa tozi ndugu wasikilizaji hahahaaah....
Team Mexico hoyeeee!!!
Holland wananipa pressure,nabweka kama mbwa,soccer ni noma
Holland wananipa pressure,nabweka kama mbwa,soccer ni noma
Kuna shabiki wa Man utd aasema bora uholanzi wafungwe ili wakajiandae na pre season mapema