Ikitokea jipige ban id zote sio uanze kuingilia mlango wa uani!
Mexico wanashangiliwa sana.
naona kazi wameaanza kuiona kutoka mexico
Holland wananipa pressure,nabweka kama mbwa,soccer ni noma
Hawa Mexico nao hawana mashuti kama yale ya mechi ya Brazil na Mexico
Gooooo laa mex wanakosakosa tena hapa haatari sana