World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Timu za america kusini hii hali ya hewa itazibeba sana.
 
Imekuwa NBA sasa mapumziko kweli Qatar itawezekana Joto lake wanazimia.

FIFA wanawanyang'anya Qatar uandaaji wa WC!Waliyo yaona hapo Forteleza yanawatosha na ile kesi ya tuhuma za rushwa ndiyo inawaondoa!Huwezi cheza mpira Qatar hali ya hewa haihusu
 
unauonaje mpira kiongozi?
Naona uholaanzi anacheza kwa kuvizia vizia sana.
Mbona wanatoka nje tena jamani, kama vile basketball..!!

haswa anavizia . Halafu kocha wao kaiga formation ya mexico leo lakini imewashinda
 
Bongo tunavyoiga vitu vya nje usije kushangaa TFF wakaiga hii cooling break msimu ujao, wakati miaka yote haikuwepo, pia joto la Bongo halina Humidity kali kama Amerika ya Kaskazini na kusini.

hahahaaah,,,,,,inawezekana kabisa tukaiga.
 
Kwa hali hii ya joto, sijui world cup 2022 huko Qatar itakuwaje, huenda watakuja na majokofu kwa kwenda mbele..!!!
 
FIFA wanawanyang'anya Qatar uandaaji wa WC!Waliyo yaona hapo Forteleza yanawatosha na ile kesi ya tuhuma za rushwa ndiyo inawaondoa!Huwezi cheza mpira Qatar hali ya hewa haihusu

Je wakinyanganywa nchi nyingine kama England zitaruhusiwa kubid tena?
 
Hili joto linaelekea kuwa affect Wazungu ama Waholanzi tu, Wamexico wameshajizoelea kufyeka nyasi na kuchuma mazao katika joto kama hili.
 
Nawaonea huruma Holland toka waanze kucheza soccer hawajawahi kucheza kwenye nyuzi joto 40,au ndo maana wanapoteza network?
 
FIFA wanawanyang'anya Qatar uandaaji wa WC!Waliyo yaona hapo Forteleza yanawatosha na ile kesi ya tuhuma za rushwa ndiyo inawaondoa!Huwezi cheza mpira Qatar hali ya hewa haihusu

Wakiwanyang'anya itakuwa siyo ishu ukicheki zile plan zao za viwanja ni amazing asee I wish liwepo kule
 
[quote

Paul Aguilar tumbles over Arjen Robben

Mexico's midfielder Hector Herrera gets clobbered in the head by the right boot of Ron Vlaar,
but Vlaar took the ball first and the referee rules that it's not worthy of a penalty[/QUOTE]

Hao refa kawabeba wadachi

Lazima mwaka huu American team wachukue kombe

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…