World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Timu za Europe watoe sababu zao zisio na msingi basi Final ipigwe nje ya nchi Alaska.

Hawana lolote champions League wakipigwa na timu za Russia wanasingizia baridi kali.....kufungwa ni kufungwa tu!
 
Kwani huu uwanja haujawahi kuchezewa mechi kwenye haya mashindano?
 
hii ndoo haitabiriki kabisa nani atabeba, nilikuwa nawamini holand
 
Kuna nabishana nae hapa tafadhali msaada hapa ili nipige hela
Hizi jezi za leo za holland hii WC hatua ya makundi washa wahi kuivaa?
 
Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaallllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllll
 
Hakuna cha joto wala nini! Wapigwe tu! Mbona akina Giovanni nao wametoka Ulaya juzi juzi tu?

Hata kama Wametoka Ulaya juzi juzi lakini huwezi kulinganisha adaption ya mtu aliyekulia katika joto. Anyway, mwisho wa ubabe wa Europeans katika soka ni jambo zuri.... Dah Mzee sneijder kasawazisha... back to square one. Lakini Holland bado watatolewa katika penati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…