World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Tayari Chile 1,Salam kwa Spain. Kuna hatari Spain asiingie hata raundi ya pili
 
hawa Australia watajiunga na Spain kwa kufungwa magoli mengi mechi ya kwanza. Two goals ndani ya dakika 3.
 
Ezekiel Kamwaga alisema hakuna goli moja hapa ni mengi tu.
 
Wachezaji wamezeeka Hakuna mbadala basi Ni kupigwa tu!

Siyo kwamba wamezeeka bali staili ya tikitaki imepitwa na wakati.

I am so happy boring tikitaka style ya Barca inakufa.

Ukiangalia Holland wamecheza mpira kama ule uliyochezwa na Bayern Munich na kuichapa Barca kwenye Champions League na hatimaye kutwaa ubingwa. Remember that game?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…