Nadhani umeingilia uchangiaji wa hoja katikati, pata mtiririko wangu kwanza na huyo niliyemuuliza swali ndipo urudi tena....Hapa kinajadiliwa maamuzi kubadilishwa au uhalali wa penalt?
Alikiri kujirusha kumdanganya refa KIPINDI CHA KWANZA na refa hakutoa penalti ila anadai kipindi cha pili pale mwishoni ni kweli aliangushwa na PENALTI NI HALALI. Kwa hiyo goli la ushindi la penalti halikutokana na yeye kumdanganya refa. Hata hivyo hata kipindi cha kwanza alipojirusha na yeye anakiri hivyo alistahili kuadhibiwa na refa.
Nadhani umeingilia uchangiaji wa hoja katikati, pata mtiririko wangu kwanza na huyo niliyemuuliza swali ndipo urudi tena....
Nilidhani hata Ivory Coast alipotolewa kwa penati ya utata ya Ugiriki dakika ya 92 mngeleta uzi humu....Penalti c halali ila wazungu nao waone kuna uonevu wa marefari.mexico walipaswa kushnda ile gemu walicheza vizuri sna
tuko pamoja mkuuKumradhi....
hahahahaaaaaa:sly: Jamani jamani jamaniiiii tusije kimbiana baada ya mchezo nigeria wapo vizuri hao ufaransa wenyewe walikua wanaombea wasije kua nao kwenye knock out stage coz ni wagumu kufungika.
ufaransa wana timu ya kawaida tu sema walikutana na vibonde. Ona walivyosumbuliwa na kupotezwa kabisa na ecuador. Nigeria wamesema ufarnsa wasitegemee mteremko.
Huo ni uzushi tu kaka,photo shop hiyo!BET Awards bado hata haijaanza sasa kachukua vipi?Saa 1 kuanzia sasa itaanza kurushwa live
Kwanza kwenye BET Awards hawavai hivyo,wanavaa suti!!Ni tuzo inayoheshimiwa sana hiyo
ufaransa wana timu ya kawaida tu sema walikutana na vibonde. Ona walivyosumbuliwa na kupotezwa kabisa na ecuador. Nigeria wamesema ufarnsa wasitegemee mteremko.
Kabisa Meandu, yaan mimi nawaaminia Nigeria kwakweli ufaransa nimeona mchezo wake ni wakawaida sana compare na nigeria.
wewe uko tayari kufanya kazi bure? posho ni haki yao, mpira ndiyo kazi yao ni haki kudai chao mapema kwenye hizi nchi zenye viongozi washenzi!
Nigeria sio team ya kubeza,argentina wamshukuru messi,kuna mtu huyo ahmed mussa,anajua kucheka na nyavu
Nigeria hii ikimfunga France au hata ikimsumbua tu nalihama jiji hili lenye joto na kwenda kuishi Kyela na mchumba wangu tukalime mbatata!!
Benzema anaweza piga hat trick leo
haya leo wale wa [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teamafrica]#teamafrica [/URL] tukutane hapa mimi kiukweli leo niko #teamnigeria na #teamalgeria nataka hawa #argentina na #german watolewe kwa aibu sana
katika kombe la dunia leo timu mbili kutoka bara la afrika zitaamua hatima yao wakati nigeria inaikabili ufaransa na algeria itapambana na ujerumani.
Ki ukweli ningependa timu hizi zinazotuwakilisha waafrica zisonge mbele kwenye mashindano haya makubwa duniani
lakini nadhubutu kusema leo ndio mwisho wa timu hizi tena watauliwa kwa aibu kubwa sana.mchezo walioonyesha nigeria mpaka sasa 16 walienda kwa zali tu la kisoka hata algeria hawana uwezo hata chembe wa kuwazuia vigogo hao wa soka barani ulaya
ninaona jinsi muller na benzema wanakuwa wafungaji bora wa mashindano haya kupitia mechi hizi leo.
Hii ni kwenu #teamafrica