World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

subiri dk 90 utakuja kufuta kauli yako

Hata mgonjwa kuna yule anayekupa matumaini atapona ila kuna mwingine mkuu inabidi usubiri miijuza ya mungu tu ndio hizi timu sasa
Na hofu yangu kubwa ni aina ya timu wanazokutana nazo tu!
 
vikos cha tim za africa ukivilinganisha vipo kama vya tim nyingine dunian lkn maandaliz yanazifanya yanaboa ktk mfumo
 
kama ALGRIA na NIGERIA wataweka enough efforts wanashinda hizi game....tofauti ya timu zetu na za hawa wazungu ni grit and determination tu lakini technical ability we are equal or superior to them!!! COME ON ALNIGERIA!!!!
#TeamAfrica
 
huko aliko malafyale anaskia aibu ye kila kitu anafikiri ni picha ya mama wema (photoshop)
hahahahaha. kilichofanyika ni kuwa tuzo zilitolewa asubuhi kabla ya show yenyewe na kurekodiwa. sasa watu wanasubiri eti ooh bado masaa 3 inakuwaje mshindi amepatikana?
 
Tusitegemee Kuona Timu Yoyote Ya Africa Ikiingia Robo Fainali Hyo Nigeria Bora Ingempeleka Davido Acheze Kuliko Hao Wachezaji Wanaogoma Bila Uzalendo Wakizubaa Benzema Anachukua Golden Boot Leo
 
Kwahiyo uzalendo ni kucheza bila kulipwa?
Nakusikitikia!
 
Tusitegemee Kuona Timu Yoyote Ya Africa Ikiingia Robo Fainali Hyo Nigeria Bora Ingempeleka Davido Acheze Kuliko Hao Wachezaji Wanaogoma Bila Uzalendo Wakizubaa Benzema Anachukua Golden Boot Leo

tusitegemee na nani? mbona unawasemea watu wengine? mimi binafsi nina imani na timu za afrika zilizoaki. kama wangekuwa wabovu wasingekuwa kwenye 16 bora. huhitaji kuwa na PhD kujua hili.
 
Mie leo timu #TeamAfrika pamoja na kujuwa mechi zote ni ngumu lakini kamwe siwezi kushangilia timu yoyote ile ya bara tofauti inapocheza na timu toka Afrika. Afrika kwanza kwingine baadaye.
 
Tusitegemee Kuona Timu Yoyote Ya Africa Ikiingia Robo Fainali Hyo Nigeria Bora Ingempeleka Davido Acheze Kuliko Hao Wachezaji Wanaogoma Bila Uzalendo Wakizubaa Benzema Anachukua Golden Boot Leo

mkuu,this is football,anything can happen!!! usisahau hii ni WIN OR GO HOME ni tofauti na group games!
 
TANESCO CHONDE CHONDE TUTAONANA WABAYA LEO !!!!ohoooo manake najua yule mkata umeme anasubiri mpira uanze alete ujinga wake,mmekata umeme tangu asubuhi tumevumilia jioni hii tutaonana wabaya
 
Huyo jamaa anayekataga umeme atakuwa ni mtu asiyependa football
 
Tusitegemee Kuona Timu Yoyote Ya Africa Ikiingia Robo Fainali Hyo Nigeria Bora Ingempeleka Davido Acheze Kuliko Hao Wachezaji Wanaogoma Bila Uzalendo Wakizubaa Benzema Anachukua Golden Boot Leo

Pesa za FIFA zimeenda wapi hadi wachezaji wasilipwe?mie naona wamekosa uzalendo kwa wezi na wamekuwa wazalendo kwa haki zao,na wanaharakati wanaojenga tabia njema ya kuzuia wizi katika Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…