stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,759
Ufaransa wanamashambulizi ya kustukiza..
Benzema vipi leo?tunataka magoli bana
Benzema vipi leo?tunataka magoli bana
Mbona mpira tunakuwa nao mwingi ila matunda machache
Nigeria wakishinda leo ni Africa unite,we are the children ot the higher man,Team Nigeria mpo?
Nigeria hii sio ile ya makundi,leo wanajitahidi sana
Tanesco hawa mafedhuli kweli