hahaha imebidi nicheke
Daah nilisahau kabisa kama wk-end imeisha kesho kazi.. Usiku mwema Wakuu...
Na bado....
Tunawasaka cha pili
Imeniuma sana yaani dah
Hebu warudi wafungane,mimi sitaki wafike kwenye matuta.Kwenye matuta najua Enyiema atawaokoa Nigeria na kuwavusha robo final
Tumeshakalia tango
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Yaani wamezembea wenyewe hii game walikuwa wameitawala kabisa...poor marking!