World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Nigeria asanteni kwa kushiriki asante sana mr yobo kuhakikisha watu waenda robo fainali..
 
Eti Robben wa netherland akili kufanya udanganyifu ulioipatia timu yao penalty ya kufuzu robo fainali.
 
Tumeaga ila ndo ivo "tff" waache kula pesa zao

Umeona eeee!! Vijana wamejitahid siku mbili bila mazoez?? Posho zimeliwa na mafisadi lkn wamejitahid kukaza,tumefungwa sababu ya mafisadi,uwezo tunao sana tuu!!!
 
Sijui niache tu kuangalia haya mashindano maana timu yangu ilishatoka kitambo, lakini hizi timu nazoshabikia kwa kujitolea zinanipa tu presha kila siku.
 
Mhhh!!!! Inauma ujue!!! Duh!!!

Tangu mashindano haya yaanze leo kitendo cha refa kufutika kadi nyekundu, kuipinduwa kuwa yamanjano ni uharamia

zaidi ya wa boko haram na al-shababu. Imeniudhi sana tena sana wanavyotubaguwa hawa wazungu.
 
Yana hawa mambulula wangejua watu tunaumia kiasi gani huku timu za Africa zikifungwa.....wasingecheza kikocho hivi....yaaani!

Mkuu watu hawajalipwa morali ya kucheza itoke wapi?? viongozi wetu wa Africa ndicho walichokuwa wanakitafuta
 
Sijui niache tu kuangalia haya mashindano maana timu yangu ilishatoka kitambo, lakini hizi timu nazoshabikia kwa kujitolea zinanipa tu presha kila siku.

Jiunge kwenye timu yangu upate raha na burudani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…