World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Jinsi Wamarekani walivyorogwa na Macelebrity kila macelebrity wanavyozidi kupenda Soka na kuhudhuria mechi ndo jamii nayo itaupenda huu mchezo.

Umemuona mwanao Andrew Lucky wa Colts hapo karibu na benchi la USA?
 
Marekani watashinda hii game, dakika za mwisho kabisa tena kwa acounter attack.
Waache hao belgium wacheze cheze na kujisahau kidogo ndo watajuta.
 
sijamuona, lakini nimesikia Ryan Seacrest yupo ndani ya nyumba, Malafyale
 
Agentina watakaa tu kwa Holland..

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
So far USA inastahili sifa, hasa kwa kuwa nchi kama ya Putin ambayo soccer ni mchezo # 1 ilishaonyeshwa mlango kitambo
 
Marekani watashinda hii game, dakika za mwisho kabisa tena kwa acounter attack.
Waache hao belgium wacheze cheze na kujisahau kidogo ndo watajuta.

wanatunza energy dakika 10 za mwisho watawakimbiza ubelijiji
 
huyu mtoto Origi muda si mrefu tutasikia timu kubwa zinamfukuzia mpaka sasa kashamfunika Lukaku.
 
Tumeweza ku absorb mashambulizi yao so far!!Sasa tunawapiga
 
Sielewi US wameshikwa wapi manake game ni ya upande mmoja.ila Belgium harako creative ndani ya box otherwise game ilishaisha zamani.Belgium wakipunguza tempo hawa US watarudi na goli.US wamekamatwa lakini hawahitaji nafasi nyingi kushinda.
 
Afadhali USA walivyomtoa Zusi alikuwa amechoka , hakabi, alikuwa anampa wakati mgumu beki namba 2 wa USA
 
huyu mtoto Origi muda si mrefu tutasikia timu kubwa zinamfukuzia mpaka sasa kashamfunika Lukaku.
Liverpool wameanza mazungumzo na wakala wake juzi!Lukaku mechi 2 za kwanza madudu matupu hachezi tena
 
Hii mechi ikifika penati USA watapita, Howard ni mzuri katika Penati sijawahi kumuona Courtois katika penati.
 
Sielewi US wameshikwa wapi manake game ni ya upande mmoja.ila Belgium harako creative ndani ya box otherwise game ilishaisha zamani.Belgium wakipunguza tempo hawa US watarudi na goli.US wamekamatwa lakini hawahitaji nafasi nyingi kushinda.

Belgium wakifungwa hii mechi lazima watoe chozi
Maana kwa kiasi kikubwa wamemiliki mchezo ila finishing yao imekaa kiafrica.
 
Siwafichi japo nataka USA wafungwe mpaka sasa timu ya USA nimeipa heshima Huyu Tim Howard aumie kwapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…