World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

naona timu zangu nilizosema ntazifuatilia baada ya Waafrika kutolewa bado zipo.... Germany na Belgium. 10 O'clock news zitakuwa poa hapatakuwa na kelele
 
pongez kwa kipa wenu. ameokoa magoli mengi. vinginevyo tungekuwa tunazungumzia tano na nusu hivi.....lol

Hatuna cha kumshukuru!Tim Howard ni keeper wetu na leom kafanya kazi yake
 
Alikuwa analalamika Added Time ilikuwa 1 min tuu

Alikuwa anataka Fergie time {+5 mins} lol

Added time huwa inachekesha sana, ukiwa unaongoza kwa goli moja hutaki hata sekunde iongezwe, ukiwa nyuma unataka saa nzima iongezwe.
 
England hamna kitu kabisa!

Kwanza kiwango cha soka cha England na cha bongo wala havipishani sana.

Marekani soka yao (timu ya taifa) iko juu sana zaidi ya England.
havipishani mashabiki havipishani magazeti wachezaji ndio usiseme wanahitaji kucheza pamoja watoe draw.
 
Ilikuwa vita nzito
 

Attachments

  • 1404255535185.jpg
    33.2 KB · Views: 40
  • 1404255557193.jpg
    30.7 KB · Views: 37
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…