USA plz basi hata Penalt ili tuone Penalt, mtangazaji wa USA hachelewi kusema goli touch down.
wengine wamekaa Kama wamelazimishwa kutizama mpira wa miguu! Nasikia kuna mtu Fox News alilalamika kwamba Obama anasababisha watu wapoteze muda wa kazi kutizama Soccer!
WASHINGTON, DC - JULY 1: U.S. President Barack Obama watches the U.S. play Belgium in World Cup action at the Eisenhower Executive Office Building July 1, 2014 in Washington, DC.. The game was tied 0-0 at the end of regulation play. (Photo by Andrew Harrer-Pool/Getty Images)
Mfano mdogo tu ni mechi ya Jana France. Vs Nigeria..uliona ile rafu
Matuidi aliyomchezea Onazi?
Wachambuzi wote niliojaribu kupitia comments zao walikubaliana kuwa ile ni Straight Red Card...lakini yule mpuuzi akatoa Njano...
Hii unaitaje sasa..??
kombe linaenda Argentina...kama unabisha tubet
THANK YOU!!!!! Ile ni rafu iliyostahili red card lakini refa akaamua kumeza kipyenga chake, Ivory Coast walistahili kutoa draw na Greece na hivyo kusonga mbele, lakini refa dakika za mwisho kaamua kufanya maamuzi ambayo yalihakikisha dakika zote za mwisho mpira unachezwa kwenye goli la Ivory Coast na matokeo yake tunayajua. Bad calls zipo hilo siwezi kulikataa, lakini kwanini the majority of bad calls zinakuwa against Africa's teams?
yaaah.ila ntakuwa na wakat mgumu mechi ijayo na Argentina. sijui ntachagua ipi.....ila nadhan nmeanza ku fall in love na wabelgiji aisee!!!
Just an observation.....
8 teams are left in the World Cup.
Latin America is represented by Brasil (the eventual winners of WC 2014, mark my words)
Just an observation.....
8 teams are left in the World Cup.
Of those 8, four are from Europe and the other four are from Latin America (Central and South America).
From Europe you got France, Germany, Netherlands, and Belgium.
Latin America is represented by Brasil (the eventual winners of WC 2014, mark my words), Argentina, Colombia, and Costa Rica.
Once again the usual suspects are in the thick of the action (of contention).
That speaks volumes about football superiority!
Asia and hapless Africa have a long ways to go!