la kwanza hilo
Habari zenu wadau? Mko poa? Updates zenu ni muhimu wengine bado tuko barabarani.
la kwanza hilo
Mungu ni wa wote, sema nini kimewapata?
la kwanza hilo
sawa mkuu ama matuta ikiwezekana
Ukweli sijapenda jinsi huu mchezo unavyochezwa, kama Euro bwana. Hii ni World CUp, tunataka ile speed ya World cup.
Ukweli sijapenda jinsi huu mchezo unavyochezwa, kama Euro bwana. Hii ni World CUp, tunataka ile speed ya World cup.
badooo km 2 hv....nilikuambia dk 90 nakurudishia pole yako!
mpira hauna ladha kabisa tusubiri world cup usiku baadae colombia wakiwataabisha wenyejiUkweli sijapenda jinsi huu mchezo unavyochezwa, kama Euro bwana. Hii ni World CUp, tunataka ile speed ya World cup.
Add me in.