World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA!FORZA AZZURI!Tunaenda kimya kimya kama kawa,just like old times.

Inaonesha unaipenda mkuu
 
Cameroon utadhani wanyanyua vyuma wameletwa kwenye mpira.

ingekuwa kushiba ndo ushindi... hawa jama hawatambui tatizo la uzito na ni miaka yote...ila wanaweza funga mtu
 
ingekuwa kushiba ndo ushindi... hawa jama hawatambui tatizo la uzito na ni miaka yote...ila wanaweza funga mtu

Mi kama naona wameshiba sana kiasi kwamba hata kukimbia ishu
 
Team Italy tujuane mapema.....

tupo pamoja mkuu. waingereza leo mtaaani wamenuna kweli sijui kwanini. Nadhani kile kipigo cha spain jana na australia kimewachanganya hasa kwenye BETTING.
 
England leo anashinda
Kabisa England anashinda Leo, Vialli Kasema Italy they eat pressure for breakfast ila england can't handle pressure ila Leo Azzuri analiwa japo hata Mie 94 nilikuwa mshabiki wa Italy sababu ya Baggio ila Leo Italy kashinda draw.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…