World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Na wewe upo Colombia,mliwaonea kina grece na kina Yaya toure,leo ni leo

unajua colombia ndiyo timu pekee kwenye hili kombe la dunia mpaka sasa wenye asilimia kubwa ya kumalizia pasi za mwisho na kufunga magoli? Hili ni kithibitisho tosha kuwa wote waliofungwa na colombia haikuwa kubahatisha la hasha.
 
Nimejaa tele kama pishi ya mchele wa Dubai 🙂🙂 , kuangalia jinsi tutakavyowafungasha virago hawa Wacolumbia warudi kwao wakavune kahawa na kuuza sembe. #TeamBrazil oyeeee! oyeeee! ila imeniuma #TeamFrance kutolewa wamepoteza nafasi nyingi sana za wazi.

Team brazil mpo?

Cc BAK
 
mpaka nimeshasahau kabisa mambo third order differential equations

Itabidi urudi ujifunze kwanza techniques of integration kisha upige zile mambo za derivative then uivae 3rd order O.D.E or P.D.E yaani full kupangua madude mpaka laplace anaingia humo. Bwana wee on those days nilikuwa naenjoy sana hadi leo huwa najikumbushia for leisure. Aise tuna dk kama 61 gemu lianze.
 

nawasikitikia sana mashabiki wa brazil leo maana itakuwa ngumu kumeza
 
nawasikitikia sana mashabiki wa brazil leo maana itakuwa ngumu kumeza

Labda watumie Bernoulls principle ya fluid mechanics ndipo wataweza kumeza hilo li simple harmonic motion la Columbia, teh teh teh, wenye lugha yao wanasema tumepachika tekniko jagon kwenye uzi wa watu.
 
Teambrazuca aka teamneymario siwezi kaa team moja na MEANDU maana kila team anayochagua inachezea kichapo.
 
Nawapongeza sana FIFA kuzipanga vizuri hizi mechi,as zote tunaamkia weekend
 

Hata mie imeniuma ......leo columbian tutawafunga 3 na kuendelea

Oyeeee(yatosha sauti isijenikauka)
 
Reactions: BAK
Nawapongeza sana FIFA kuzipanga vizuri hizi mechi,as zote tunaamkia weekend

What a coincidence, closest alphabets are fighting in the quarter final. A&B- Argentina & Belgium, B&C- Brazil & Colombia, C&D- Costa Rica vs Dutch & finally F&G- France vs Germany
 
Nacheza FIFA 14 kwenye PC hapa, Hivi nikitaka Suarez aning'ate, nafanyaje? Nisaidie
 
What a coincidence, closest alphabets are fighting in the quarter final. A&B- Argentina & Belgium, B&C- Brazil & Colombia, C&D- Costa Rica vs Dutch & finally F&G- France vs Germany

Wewe mkali umenichekesha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…