Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Team Brazil hoyeeee
Brazil wana wenge sana wanatakiwa wawe waangalifu Columbia bado hawajasoma mchezo wakitulia wanaweza kusumbua sana Brazil.
Hawa walima na wauza sembe wanataka kupaniki mapema hivi!!!
Faulo za ajabu anapewa Brazil
Brazil wana wenge sana wanatakiwa wawe waangalifu Columbia bado hawajasoma mchezo wakitulia wanaweza kusumbua sana Brazil.
I can see...
Luiz mara moja moja kama ana akili hivi.
Acha visingizio kama waingereza kubali mmezidiwa kila idara..
Hapana siwezi pitwa ila nimetulia 100% nikiangalia mtanange.
Wana timu nzuri sana hawa wakulima wa kahawa na uwezo mkubwa wa kuziona nyavu, ndio maana nimesema kuna kila sababu ya kuongeza goli nyingine mbili za haraka haraka kama siyo zaidi ili kuwamaliza nguvu.
Ngoja Brazil tuwatulize kwa goli 2 za chap..
hamuwezi
Huu mpira ni mtamu....Hakuna hata lepe la usingizi
yeah #teamcolumbia
mapenzi kwa Brazil hadi umeweka bendera kwenye avatar