Huyu refa yupo very easy to be influenced, hii free kick ya Colombia(karibu na kumi na nane) isingetolewa kama refa angekuwa mwingine.
Kwahiyo umesha jiandaa kisaikolojia...??
Duh! Arifu, wewe kila timu unayoshabikia uwa inaonewa na refa?!?
Sijui kwa nini kamchezesha huyu anacheza rafu za kijinga sana.
brazil kama waafrika kila mtu anataka afunge yeye
wakitulia si watakuta washipigwa za kutosha?
Ujerumani ndo mabingwa..brazil watoto sana