Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Ujerumani ndo mabingwa..brazil watoto sana
brazil kama waafrika kila mtu anataka afunge yeye
huyu Neymar anacheza kwa sifa huyo.....
wana nini
tell me ur not serious. ...
brazil kama waafrika kila mtu anataka afunge yeye
Wanna wager?
brazil kama waafrika kila mtu anataka afunge yeye
On Tuesday Germany will be having a very difficult time
kama Brazil wakishinda lakini
Wanamitindo sio watu wa kazi,,,Brasil ilikua ya kina cafu,Ronaldo,gaucho,kaka etc
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Kamuda kamewai isha.gemu tamu
On Tuesday Germany will be having a very difficult time
kama Brazil wakishinda lakini
elfu hamsini naweka Ujerumani anaifunga Brazil....wewe uko tayari?