Brazil asiposhinda leo nameza kisu
Umenikumbusha kwenye UEFA champions league,ulisema sijui timu gani ikifungwa utameza kisu
Hivi brazil wamekosa kwelh fowad ya maana hadi wategemee huu mtumba fred
James nusura arudie lile goli la Uuigway
brazil pale katikati wanaanza kupoteana
Brazil na tukifungwa mwanzo leo mwisho leo siangalii tena world cup..