Umeona eee? Yaani hata nami ntapumua wakitupia la pili na 3,bado hali si hali,biashara asubuhi bana.....!!!
Julio nae kaharibu ah ila anatoa hilo
Pressure to #teamBrasil now...
Dani Alaves ana kadi...njano mbili.
colombia mkuu
We are Brazil haijalishi na hichi kigoli chao ki1 virago vyao tayari Asante Rodriguez 6 goals in 5 match
#teamBrazil
Neymar nje...inaonekana kama ni serious injury...
Dakika ziishe basi watu tufurahie ushindi aah.