We are Brazil haijalishi na hichi kigoli chao ki1 virago vyao tayari Asante Rodriguez 6 goals in 5 match
#teamBrazil
Kazi ipo bila Neymar,sijui itakuwaje
Watu wanaandika Columbia!!!
Okay..ndiyo maana..sasa leo Silva naye kapewa kadi ya njano ya pili, atakosa nusu fainali...balaa