Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Wasawazishe tuendelee kucheki gemu...!
Neymar akifikiria hajaongeza magoli yakumpiku rodriguez ndo anazidi kulia machungu yanazidi.
Nadhani zote ni sawa kama Brazil na Brasil. Nasikia wanadai mtu anaitwa Columbian badala ya Colombian, nchi ndo Colombia.
Its Over..
LOL Colombia wana chance kidogo, naomba Mungu mchezaji wa Colombia hata mmoja asipigwe risasi pindi wakitolewa kama 1994. Isije ikawa wanaelewa kitakachotokea wakitolewa