World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Messi sio Neymar kaka!!Pekee yake anaweza akawahimili hawa!Pekee yake bila msaada wa yyt!Hao mabeki wao wanatakiwa wakabe tu


Kwahiyo leo itakuwa ni Belgium against Messi?

Vincent Kompany kasema leo atahakikisha anaweka heshima duniani kwa kuhakikisha kuwa wanapata Clean Sheet
 
Kama kawaida Belgium tuko ndani ya uzi maridadi wa rangi nyekundu wakati Argentina wao wako ndani ya white na michirizi ya bluu mpauko
 
Teamargentina aka teammassiya aka teamdiamaria ushindi kama kawaida yaani viwili tu sijui kwa bila au kwa moja lakini ninachojua ni viwili tu
 
Leo mimo najua kabisa wale watu wanakaaa yani leo ngoja nile mapema
 
Kompany anazungumza na anashangiliwa kwa saaana, jamani makofi kidogo tafadhali.
 
Messi HAITAJI sijui awepo Fred,awepo Hulk,awepo Oscar!Pekee yake anaweza akaipeleka Argentina fainali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…