Na mimi nitakutafuta
[MENTION][JFMP3]everlenk[/JFMP3][/MENTION] holland inakuja usilale wangu.
washabiki wa Costa Rica wasione hapa. hata hawajacheza we umesha conclude
Ninatumaini hata wewe unakubaliana nilichoandika, au nimekosea?
baadae mm teamholland
tupo wengi humu. leo tutaonyeshwa kandanda safi
Hujakosea mkuu mimi na mkoloni pamoja mpaka fainali.
Uko team gani nikusapot?
Mumemuuliza mkuu Katavi yupo timu gani......?
Halafu ndugu wadau wa mchezo tukumbushane kidogo...wale mnaoangalia mbali na nyumbani jitahidi kutembea angalau watatu isije ikawakuta la kuwakuta kama huyo mwanafunzi wa chuo huko Iringa akaitwa mwizi akachomwa moto. Tafadhalini msipende kutembea usiku alone.
Acha bwana, Katavi akiwa upande wako imekula kwako, hauhitaji pweza, wala ngamia kujuwa matokeo.