Daaah RVP !!!
Mkuu!
Argentina ile hata huyu Chuji wetu au John Bocco angeonekana mtaalam tu!Unacheza na Burruchaga;Cannigia;Valdano;Cabesona ni vipi using'ae?
Messi anacheza na madudu matupu akina Lavezzi
Eti ndo van Persie huyo... hapo hata mie nafunga!
Atapambana sana lakini hatashinda
Leo inaelekea party itachelewa mitaa ya Amsterdam, DonDonald
Kama kuna uchawi kwenye mpira Costa Rica hawashikiki