Wajeru wajipanga kulipokea kombe ikiwa watakutana na Argentina ,leo wanamzibua Burazili mbao si chini ya nne ,hili halina mjadala ,yaani akitaka au akiwa hataki ,mizigo miinne anatwishwa ,na watazidi kuiona mizito baada ya mechi kumalizika ,nikizidi kuangalia rada za kichwani mwangu brazili watajifunga goli moja kati ya manne.
*Kuna uvumi umezagaa hapa Brazili kuwa VIGOGO wa FIFA wanawasiliana na wajeru ili wakubali kushindwa kimagumashi na watalipwa dau lolote lile watakalodai kupewa alimuradi Brasili ibakie ,hili ni kutokana na fujo linaloweza kuibuka kwa kushindwa vibaya kwa Brasil na kuvuga mashindano hayo.:flame: