World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

...na maguu 12 ya mtu mzima mwenye akili timamu AKA matuta...msianze kulalama tu usingizi umewazidia lol!!! Wapi #TeamBrazil!? #Team

Football fans arrive at the stadium prior the World Cup semifinal soccer match between Brazil and Germany at the Mineirao Stadium in Belo Horizonte, Brazil, Tuesday, July 8, 2014.

(AP Photo/Martin Meissner)

sina uhakika sana na hilo. mpira dk120
 
...na maguu 12 ya mtu mzima mwenye akili timamu AKA matuta...msianze kulalama tu usingizi umewazidia lol!!! Wapi #TeamBrazil!? #TeamBrazil mpo!?

mechi hiiingechezwa kesho brazil wangeshinda kirahisi lakini siyo leo
 
Hahahahahaha lol!!! Haya banaaa uko upande mmoja na Katavi ujue πŸ™‚πŸ™‚, hivyo leo ni kibano tu hakuna huruma.

Huyu Katavi inabidi awe anakatazwa kuchagua timu, maana anawawekea gundu watu wenye timu zao
 
Last edited by a moderator:
kila nikiiona first 11 ya Brazil na kuliona jina la Fred a.k.a shaggy basi kamoyo kanadunda!
 
Mhhhhhh!! lol! hahahahahahah Katavi acheke? Thubutu!! Alionekana akisali leo ili kwa mara ya kwanza timu anayoishangilia leo ishinde πŸ™‚πŸ™‚....maana tangu mashindano yaanze kila siku amekuwa mtu wa HOLA tu.

Hahahahahahaaaa, leo atacheka
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhhh!! lol! hahahahahahah Katavi acheke? Thubutu!! Alionekana akisali leo ili kwa mara ya kwanza timu anayoishangilia leo ishinde πŸ™‚πŸ™‚....maana tangu mashindano yaanze kila siku amekuwa mtu wa HOLA tu.

Lol, basi Katavi kama vipi shabikia tu Brazil, no one will blame you 😛
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Hahahahaahahahahaaaa Brazil ya mwisho kuishabikia ilikua ya mwaka 1994, na huu mpira mixer mitama mnaocheza mwaka huu kama Stoke City ya Tony Pulis, nachoweza kuwasaidia ni kuwatakia kibano tu cha mkoloni
1994 Mkuu unanikumbusha Bebeto,taffarell,capt Dunga na mzee De seuza Romalio.....ha ha ha hii dunia nzima ilikubali....hawa kina Neema hakuna kitu leo watashushiwa mzigo km wa tani 18 wa mjerumani......Go Team GERMANY!
 
Mkoloni leo anamnyoosha mtu mambo ya timu ya kuunga unga mwisho leo
 
Hapana banaaa lol! hahahahah shabiki anaruhusiwa kuhamia team nyingine pale anapoona kuna umuhimu wa kufanya hivyo kwi kwi kwi kwi Katavi #TeamGermany

Noooooooooooooooooo!Katavi uteuzi wa kwanza ndo unaheshimika!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…