World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Huyu Campbell mke wake atakua ana mimba ndio maana kakumbatia mpira.
 
Yaani naona dalili ya mikeka ya watu kuchanwa costa rica pigaaa kabisa cha pili hichoooooo
 
England hadi sasa watajiunga na Uruguay kutoka mashindanoni.
 
Yaani sijapata usingizi kwa timu yangu kufungwa ngoja costa rica wanirudishie moody
 
Diving header,goli la pili.hawa Costa Rica mbona wakali hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…