Mkoloni leo anamnyoosha mtu mambo ya timu ya kuunga unga mwisho leo
#teamBrazil all the way to the final.
Leo nimekuja na maupako ya kutosha. Ushindi upo kabisa.
Timu German oyeee
Tafadhali naomba utulie kimya...
sema tena!mwisho wa waandazi umewadia....waache wanaojua soka waendelee...Brazil ya sasa soka timu ya mieleka!
Oyeeeee!