Am so disappointed, let me sleeep maana BAN yanifata mapema kwani hapa magoli yanaogezeka sana tu.
Kwishne! Mildfield ya Brazil imekufa kabisa
Pole mkuu
kaka nilimuwekea mjerumani 1-1&3+ nikaweka milion teh teh teh, mkeka ushasoma...!!:flame:Invisible we nipe BAN tu sasa maana goli 4 zimeingia tayari.
Wabrazil chomeni hii nchi huu ni ujinga sana
My money please
My money please
Mjerumani anapenda sifa sasa
hivi hii ni nusu fainali au hatua ya makundi?