World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Brazil wamejisahau kabisa kama hawajafungwa vile kumbe muda unaenda tu.
 
Waarabu wetu walijitahid sana


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Kulaleki hii ni mbaya kuliko ya Spain afadhali wao hawakuwa home na wahakuwa katika advanced stage kama hii. Hata kama wana mchawi toka Sumbawanga, Brazil wameshalala hapa. Ni Arsenal pekee waliowahi kurudisha goli 4 baada ya kufungwa goli 4-0 na vile vile ku-conceide goli 4 baada ya kuongoza kwa goli 4-0
 
Refa toa basi hata red card ujifanye umesahau uwape wachezaji watatu wa German mechi iishe
 
Taratibu basi usije ukaachwa au nikupe adhabu ya kutorudi nyumbani huku bar niliko?

Basi yaishe baba rudi nyumban
Kufungwa kama netball nayo noma
Mabeki wenu wanapotezana sana
 
Ni Majanga Mkuu ni Majanga tena si madogo. Saa hizi bila shaka Wanajeshi kibao wameshamwagwa katika miji mbali mbali kule Brazil.

Eeeh Malaika badilika uisaidie Brazil ishinde maana watauana hawa watu baada ya hii mechi
 
Sijui wataficha wapi sura zao. Bora haya magoli yangekataliwa yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…