juve2012
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 3,343
- 2,040
Mkuu naona Brazil imevuviwa na malaika Meckel(angel Meckel) hapo dah!jf bhana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha Bantu lady mbona analia Sana
bado biashara haijaisha tutawapa mwishoni kwenye kufunga majesabu
Historia mbili zimewekwa leo kwa Germany kufunga magoli ya haraka haraka hasa yale ya mwanzo 5 ndani ya dakika 18.
Na ya pili ni host kubugizwa magoli 7-1 aaaww historia mbaya sana hii, haikutakiwa kuwekwa kbs.
Mimi naomba niwaage rasmi humu, nimehuzunika sana timu yangu kuniumiza hivi.
Sitatokea tena basi, nawashukuru wote humu.
Kwaherini, kila la kheri kwa wale timu zao bado zipo, tutaonana kombe la dunia likiisha. Bye!!!
We need to start screening people who come here to start posts .... rubbish!
Huyu hapa
![]()
Ndugu mie naona wafanye wataloweza hawa FIFA ili Brazil ishinde maana.
Timu German oyeee
Tokea nianze kuangalia kombe la dunia mwaka 1998,sijawahi ona timu inafungwa mabao 7
Tokea nianze kuangalia kombe la dunia mwaka 1998,sijawahi ona timu inafungwa mabao 7
Mfariji best ako