TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,690
- 2,433
hela zetu tumeficha uswisi halafu tuwe timu equado?
Hahahahaaa...umenichekesha Sana...thanks kwa post hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hela zetu tumeficha uswisi halafu tuwe timu equado?
Na iwe hivyo #team Ghana.
Daaa ngoma hii nzito sana, hadi sasa sijaona timu rahisi kwenye WC
#teamGhana # #black stars#
Huwezi amini siku hiyo Ruttashobolwa atakuwa #teamUSA # mi ngachoka kabisa na mtani wangu.
mwenendo wa equador sio mzuri, pale katikati wanatazamana badala ya kuchapa kazi.
Waswisi katikati wamepamiliki vema na wanachapa kazi, hii inawezapelekea kahawa kuchemka na kunywewa
hawa ndugu zetu wanatabia kama zetu, kujisahausahau.
Mtani kuwa makini na hizo timu#teamGhana # #black stars#
Huwezi amini siku hiyo Ruttashobolwa atakuwa #teamUSA # mi ngachoka kabisa na mtani wangu.
Mtani kuwa makini na hizo timu
jasiri haachi asili.
Nipo njia naelekea kwa mtani wako nimpe cold water...
Wai kabisa maana naona dalili ya goli hapa.Nipo njia naelekea kwa mtani wako nimpe cold water...
'mjaa asili haachi asili' not jasiri
Hahaha wewe na mtani wangu presha zinawapanda mlopo huko. Mlijua Uswiss ni uchochoro eeh, hii ni njoa ya magari yaendayo kasi.
Hii gemu ya ecuador siielewi..