World Cup 2026 bidding delayed

World Cup 2026 bidding delayed

Dotto Mnzava

R I P
Joined
Mar 6, 2014
Posts
864
Reaction score
427
The bidding process for the 2026 World Cup has been postponed amid allegations around the 2018 and 2022 tournaments.

The decision was due to be made in Kuala Lumpur in May 2017. Swiss prosecutors are investigating alleged financial irregularities around the awarding of the 2018 and 2022 events to Russia and Qatar respectively.

Source: BBC News
Utoaji zabuni ya maandalizi ya kombe la dunia mwaka wa 2026 umeahirishwa kufuatia madai ya ufisadi katika utoaji wa maandalizi ya kombe hilo mwaka 2018 na 2022.

Katibu mkuu wa shirikisho hilo Jerome Valcke amesema kuwa ni 'ujinga' kuanza mpango huo katika mazingira yaliopo.

Kura ya kumtafuta atakayeandaa kombe la dunia mwaka 2016 inatarajiwa kufanyika mjini Kuala Lumpur mwezi May mwaka 2017.

Soma zaidi: bbc.com/swahili/habari/2015/06/150610_fifa_2026
 
mi nimemuelewa yule aliyesema "ili kupata waliondaa kombe la dunia bila kutoa rushwa inabidi turudi miaka mingi sana nyuma"
 
Back
Top Bottom